Jamii inapaswa kuweka uharisia kwenye jamii kusu ujasiriamali kwa vijana

0
202 views

3. Anzinsha blog yako au tovuti yako. Usianzishe ili kupata hela bali tafuta namna ambavyo watu wanaweza kujiunga kwenye tovuti yako. Andika vitu vingi vya kutosha kwenye tovuti yako ili watu wajue unachokifanya. chagua jina la tovuti kwa umakini mkubwa jina ambalo watu wanapenda kulitafuta kila iitwapo leo.

4. Kama umeamua kuanzisha blog au tovuti tafuta namna ambavyo unaweza kuingiza kipato kupitia blog au tovuti hiyo.

5. Kama we ni mtu wa tehama. Tumia ujuzi wako kutengeneza kitu ambacho kitakutengenezea mapato.

6. Kama wewe ni mtu wa kusafiri safari. Fikiria kununua kamera na kuwa unpaid picha nzuri kwa kila sehemu unayokwenda harafu unaweza ukaziuza kupitia mitandao ambayo huwa inauza picha. picha zinahitajika sana kwenye taarifa mbalimbali na kuna watu wako tayari kununua picha ilimradi inabeba maudhuli ya kile wanachotaka kufanya au kuwasilisha. Ingawa picha hizo zinatakiwa kuwa kwenye ubora wa hali ya juu sana kuweza kustahili soko la kwenye mtandao.

7. Jiunge kwenye tafiti ambazo zinalipa. Usilipe chochote kwa ajili ya kuingia kwenye tovuti ambazo watu wanafanya tafiti mbalimbali tafuta watu wenye uzoefu na kufanya tafiti halafu ujue namna ya kujiunga na kupata watu ambao wanataka watu wa kufanya tafiti. Hutapata fedha nyingi kwa wakati mmoja lakini unapopata uzoefu ndipo utaendelea kupata mawazo mapya kwa ajili ya kujiongezea kipato.