Historia ya vitisho vya Virusi vinavyoshambulia kwenye Intaneti/Mtandao

0
88 views

Vitisho vya Kwenye Mtandao
Watu wanatumia muda mwingi wa maisha yao kwa sasa kwenye mtandao wa intanet, kwa maisha yao ya kawaida au ya kikazi na kibiashara. Lakini huko kwenye mtandao kuna tishio kubwa la makosa, wizi, ulaghai na uhalifu wa mtandaoni kitu ambacho kinatishia watumiaji wengi si kwa mashirika ya fedha hata mtu binafsi.

Aina ya Vitisho vilivyomo kwenye Mtandao

Kompyuta nyingi zinapokea vitisho ambavyo viko kwenye mfumo wa programu kama malare, spyware, adware, phishing, virusi, trojan horses, worms, rootkits, ransomware na browser hijackers. Silaha hizi zinatumika ili kupata nywila (password/neno la siri) unayotumia na hata kadi za benki, hufunga kompyuta yako na kukutata ufanye kitu ili uweze kuifungua kompyuta au programu zako, wakati mwingine hufuta habari na mafaili yako, na kuifanya kompyuta yako kufanya kazi kwa taratibu sana.

Historia ya matukio ya kihalifu kwenye Mtandao

Techie la uhalifu wa kimtandao yamekuwepo tokea kompyuta zianze kufanya kazi na kuanzia wakati huo watu wamekua wakifanya jitihada za kujilinda na mashambulishi ya wahalifu wa kwenye mtandao.

1986 – Kirusi cha kwanza cha kompyuta “Brain” kiliotengenezwa, ili kuweza kushambulia kompyuta aina ya IBM kwa kubadirisha mwongozo wa floppy disk kwneye computer na kuweka kivuli cha kirusi.

1988 – Avast wakatengeneza anti virus ya kwanza kabisa. Leo , Avast inawalinda watu zaidi ya million 400 duniani kote.

1998 – “Chernobyl”, quires cha kwanza ambacho kinaharibu na kuifanya computer cupola hivyo kinaingilia program ya kuwasha computer na kuitaka computer ijiwashe.

2003 – “Cabir”, Kirusi cha kwanza cha kwenye simu na kilitengenezwa kushambulia simu zinazotumia mfumo wa Symbian na kusambaa kwenda simu nyingine kupitia bluetooth.

2010 – “Stuxnet”, Kirusi cha kisasa kabisa kati ya virus vote ambacho hudanganya visa mbalimbali na kuvambia visa vinavyotumia program za computer kujiendesha na vile vile kinaingilia mifumo ya mitambo ya nuclear.

Kihistoria kwa upande mwingine

Kirusi aina ya Casino kwenye makasino

Chenewe kilikuwa kinanukuu mafaili aina ya FATs na kuyapeleka kwenye RAM, kinafuta fail aina ya FAT kutoka kwenye mashine ya kuchezea kamali na kukulazimisha kutunza faili kinazozitaka.  Haijalishi kama anayecheza ameshinda au ameshindwa kinaisababisha computer ya uendeshaji kujizima na mtumiaji aanze kuingiza programu upya.

Kirusi aina ya Walker

Walker ni kirusi chenye makazi ambacho kinaathiri faili aina ya COM na EXE yanapoanza kutumika. Ni kirusi chenye vituko sana kinaweza kutokeza kama mtu anatembea na wakati mwingine kinajiondoa chenyewe kutoka kwenye faili ambayo kimeivamia.

Kirusi aina ya Kuku

Kuku kinayaandika upya mafaili na kuhakikisha keyboard haifanyi kazi vizuri na kuleta mandate kwenye kilo cha kompyuta “KUKU”.

Kirusi aina LSD

LSD ni kirusi hatari sana kinauwezo wa kushambulia mafaili na yakaonekana kama picha.
Hakuna namna bora ya kujua, kuondoa na kujilinda dhidi ya mashambulizi kwenye mitandao zaidi ya kutumia anti virus au programu za kuondoa wadudu kwenye kompyuta yako. Na ant virus pekee na ambayo ni bora zaidi ni AVAST

Kwa nini Avast?

Kila wakati imeonekana ni bora zaidi na watumiaji wengi.
Inatumiwa na watu milioni 400 duniani.
Ni ant virus ambayo inatumia nafasi dogo kwenye kompyuta inapofanya kazi.
ina muundo imara wa nywila, kulinda mitandao ya internet na hata kusafisha tovuti unazozitembelea.

www.avast.com